Mume wa mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Frola Mbasha,Mr.Emanuel
Mbasha jana alipandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya
Ilala kujibu mashtaka mawili yanayo mkabili ya ubakaji.
Katika kesi hiyo, hakimu Wilbert Luago alilazimika
kuhairisha kesi hiyo kwa muda wa nusu saa kwa hoja aliyoitoa Mbasha
kwamba ana wakili wa kumtetea lakini alishindwa kufika kutokana na
↧