Watu 17 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kujihusisha na vitendo vya ugaidi.
Washitakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo jana saa 7:30 mchana wakiwa chini ya ulinzi mkali.
Kulikuwa na magari mawili ya jeshi la Magereza, magari mawili yaliyokuwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na manne yaliyokuwa na askari
↧