Vilio
na simanzi vimetalawa katika kitongoji cha Isimila old stone age cha
kijiji cha Ugwachanya wilaya ya Iringa Vijijini mkoani Iringa baada ya
watu watatu kufa papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa kwa kugongwa na
lori kwenye kilabu cha pombe za kienyeji.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi amethibitisha
kutokea kwa ajali hiyo juzi jioni baada ya lori hilo
↧