Mahakama Yamtia Matatani Freeman Mbowe .....Yasema ana kesi ya kujibu katika...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameingia matatani baada ya Mahakama ya Wilaya ya Hai kuona ana kesi ya kujibu katika mashtaka ya kumshambulia mwangalizi wa ndani katika uchaguzi mkuu wa mwaka...
View ArticleKortini kwa tuhuma za kumteka trafiki wa Kike
Alexander Msowoya (35), ambaye ni mkazi wa Chang’ombe, jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Magomeni akikabiliwa na shtaka la kumteka nyara askari wa kike wa usalama barabarani....
View ArticleFDLR wameomba kuweka chini silaha - Benard Membe
Wapiganaji wa kundi la waasi katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC la FDLR limeandika barua kwa nchi za Jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC ya kuomba kuweka silaha chini na kutaka amani...
View ArticleTangazo la Nafasi za Kazi
Neema Recruitment Agency ni wakala wa ajira na nafasi za kazi. Kwa niaba ya mteja wake, kampuni inatangaza nafasi za kazi za saloon ( SALOON WORKERS ) kwa waombaji wenye sifa zifuatazo : 1. Awe wa...
View ArticleDavid Kafulila: Siogopi kushitakiwa na IPTL
MBUNGE wa Kigoma Kusini kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, David Kafulila, amesema haogopi kushtakiwa na kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited ( IPTL) kwani hata watu wasio na haki...
View ArticleBaby Madaha: Wasanii Wengi ni WACHAWI
Staa wa kike anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki na filamu nchini, Baby Joseph 'Baby Madaha' amewatolea uvivu wasanii wenzake kwa kuifumua tasnia hiyo kuwa asilimia kubwa...
View ArticleMfanyakazi wa Kampuni ya Ving'amuzi Apiga Picha za Utupu
Mfanyakazi wa kampuni ya ving'amuzi ( jina kapuni) tawi la Moshi anayefahamika kwa jina moja la Neema, anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu ameipaka matope kampuni hiyo baada ya...
View ArticleCHADEMA Yawatuliza Wananchi.......Yaahidi Katiba Mpya ni lazima Ipatikane
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Katiba mpya ya Tanzania itapatikana na kusisitiza kuwa suala la kundi la wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba linalounda Umoja wa Katiba ya Wananchi...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumatano ya tarehe 16 July 2014
Magazeti ya Leo Jumatano ya tarehe 16 July 2014
View ArticleMahakama Yamsaka Padri wa Kanisa Katoliki anayekabiliwa na kesi ya Kumlawiti...
Jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa, limeshindwa kusikiliza rufaa iliyokatwa na upande wa Jamhuri kupinga hukumu ya Mahakama Kuu iliyomwachia huru Padri wa Kanisa Katoliki, Sixtus Kimaro...
View ArticleRamadhani Yamaliza BIFU la Wema Sepetu na Penny
Staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amesema baada ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’, sasa ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima ya Mwezi...
View ArticleKesi ya Waliokutwa na Bomu bila Kibali Yaahirishwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Julai 29 mwaka huu kuendelea kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya kukutwa na bomu bila kibali, inayowakabili watu wanne. Washitakiwa...
View ArticleKuitwa Kwenye Ajira Nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, anawatangazia wafuatao waliofaulu usaili wa kujaza nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji (Assistant Inspector of Immigration) wanatakiwa kuripoti Makao...
View ArticleShilole amtetea Serengeti Boy Wake, Asema wako sawa Kiumri
Mwanadada anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametetea maisha yake ya kimapenzi na Nuh Mziwanda, akisema madai kwamba ni kijana mdogo kuliko yeye,...
View ArticleMaajabu ya Dawa ya JIKO katika Kumaliza na Kuponyesha Tatizo la Nguvu za Kiume
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View ArticleUTAFITI: Harufu mbaya ya Kujamba ( Kutoa Ushuzi ) Inazuia Magonjwa...
Kila mmoja wetu kwa wakati fulani huhisi kuvimbiwa na gesi nyingi tumboni. Suluhu ya pekee hapa huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo tumboni Sasa Wanayansi katika chuo kikuu cha Exeter, nchini...
View ArticleMoto wateketeza nyumba tatu Mwananyamala jijini Dar.....Askari wa Zima moto...
MOTO mkubwa unaodaiwa kusababishwa na hitilafu ya umeme, jana asubuhi umeteketeza nyumba ya mkazi wa eneo la Mwananyamala Hospitali, iliyopo Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Mkwanda Rajabu. Mbele...
View ArticleMatokeo Ya kidato cha 6 -2014 Yatangazwa.....Bonyeza hapa kuyaona Matokeo Yote
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III. Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa...
View ArticleMatokeo ya FOMRM SIX 2014: Shule 10 Zilizoongoza na Shule 10 za Mwisho ziko Hapa
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III. Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa...
View ArticleAlichokisema Baba yake Nuh Mziwanda baada ya kusikia mwanae kajichora tatoo...
Wiki kadhaa zimepita tangu Nuh Mziwanda aamue kujichora tatoo yenye jina la mpenzi wake Shilole. Leo baba yake mzazi kazungumza juu ya hatua hii aliyoamua kuifanya mtoto wake Nuh kwa upande wake....
View Article