Mwanadada anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa
kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametetea maisha yake ya
kimapenzi na Nuh Mziwanda, akisema madai kwamba ni kijana mdogo kuliko
yeye, siyo kweli kwani wanalingana umri.
“Mimi na Mziwanda wangu tunalingana kiumri lakini nawashangaa sana
wanaonisema kila siku eti ninatembea na Serengeti boy, jamani mpenzi
wangu siyo
↧