MOTO mkubwa unaodaiwa kusababishwa na hitilafu ya umeme, jana asubuhi umeteketeza nyumba ya mkazi wa eneo la Mwananyamala Hospitali, iliyopo Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Mkwanda Rajabu.
Mbele ya nyumba hiyo, kulikuwa na fremu tatu za maduka ya majokofu (friji), ushonaji wa nguo na vyumba sita vya kulala ambapo moto huo uliteketeza kila kitu na kusababisha hasara kubwa kwa
↧
Moto wateketeza nyumba tatu Mwananyamala jijini Dar.....Askari wa Zima moto wapigwa Mawe na Wananchi
↧