Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21,
yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu
katika madaraja ya I- III.
Jumla
ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya
mtihani kidato cha 6 wamefaulu.
Wasichana waliofaulu ni 12,080 na
wavulana waliofaulu ni 26,825.Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420
↧