Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Katiba mpya ya Tanzania itapatikana na kusisitiza kuwa suala la kundi la wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba linalounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurejea bungeni, linategemea utekelezaji wa masharti yao.
Bunge Maalumu la Katiba linatarajia kuendelea na vikao vyake Agosti 5 mwaka huu baada ya kuahirishwa Aprili 25 mwaka huu,
↧