Wapiganaji wa kundi la waasi katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC
la FDLR limeandika barua kwa nchi za Jumuiya ya maendeleo kusini mwa
Afrika SADC ya kuomba kuweka silaha chini na kutaka amani nchini humo.
Akitoa
taarifa juu ya kundi hilo kwa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini
Tanzania, Waziri wa Mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa
Benard Membe amesema
↧