Neema Recruitment Agency ni wakala wa ajira
na nafasi za kazi. Kwa niaba ya mteja wake, kampuni inatangaza nafasi za kazi
za saloon ( SALOON WORKERS ) kwa waombaji
wenye sifa zifuatazo :
1. Awe wa jinsia ya kike
2. Elimu kidato cha nne na kuendelea
3. Awe anaishi Dar Es salaam.
4. Walio na uzoefu na kazi za saluni watapewa kipaumbele.
IDADI YA NAFASI : Nafasi Ishirini( 20 )
JINSI YA
↧