MBUNGE wa Kigoma Kusini kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, David Kafulila, amesema haogopi kushtakiwa na kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited ( IPTL) kwani hata watu wasio na haki wana ujasiri wa kwenda mahakamani.
Hayo yamebainishwa kwenye taarifa iliyotolewa na mbunge huyo kwa vyombo vya habari akidai huo ndio msimamo wake baada ya kupata taarifa kupitia vyombo vya
↧