Staa wa kike anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki na filamu nchini, Baby Joseph 'Baby Madaha' amewatolea uvivu wasanii wenzake kwa kuifumua tasnia hiyo kuwa asilimia kubwa ya wasanii ni washirikina na wanalogana....
Msanii huyo amewashutumu baadhi ya wasanii Bongo kuwa hawawezi kufanya jambo lolote muhimu bila kufanya ushirikina na wengine
↧