Alexander
Msowoya (35), ambaye ni mkazi wa Chang’ombe, jijini Dar es Salaam,
amefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Magomeni akikabiliwa na shtaka la
kumteka nyara askari wa kike wa usalama barabarani.
Akiwa anaendesha gari, mshtakiwa huyo anadaiwa kumteka Kostebo Ester
katikati ya maeneo ya Tameke na Chang’ombe kabla ya kukamatwa maeneo ya
katikati ya Mabibo na Ubungo baada ya msako
↧