Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameingia matatani baada ya
Mahakama ya Wilaya ya Hai kuona ana kesi ya kujibu katika mashtaka ya
kumshambulia mwangalizi wa ndani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.
Uamuzi huo ulitolewa jana na hakimu mfawidhi wa
wilaya hiyo, Denis Mpelembwa mbele ya Mbowe, wakili wake, Issa Rajabu na
mwendesha mashtaka, Inspekta Marwa Mwita.
Mpelembwa
↧