Taasisi
ya RAFIKIELIMU FOUNDATION kupitia MRADI WA WANAWAKE
SALAMA TANZANIA, inatangaza nafasi za MAFUNZO YA USIMAMIZI
NA UENDESHAJI WA TAASISI ZISIZO KUWA ZA KISERIKALI yaani
NGO MANAGEMENT & OPERATION.
Wahitimu
wa mafunzo haya watapata nafasi ya kufanya kazi ya USIMAMIZI
NA UENDESHAJI WA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI katika MRADI
WA WANAWAKE SALAMA
↧