Mtoto Miseto (8), anayedaiwa alikuwa
akifanya kazi za ndani kwa mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Mary
Jerald mkazi wa Kijiji cha Busurwa, Wilaya ya Rorya, mkoani Mara
ameokotwa ufukweni mwa Ziwa Victoria Juni 28, mwaka huu akiwa
amejeruhiwa na anayedaiwa ni bosi wake.
Taarifa kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo, Akeyo Thomas ambaye ni
mchuuzi wa samaki katika maeneo hayo alidai kwa
↧