Profesa Mwandosya atangaza nia yake ya Kugombea Urais 2015.....Asema itakuwa...
MBUNGE wa Rungwe Mashariki na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalumu, Profesa Mark Mwandosya, amefunguka kwa mara ya kwanza na kuelezea mwelekeo wake wa kisiasa na hasa nia yake ya kuwania urais mwaka...
View ArticleFrederick Sumaye anusurika kifo kwenye ndege
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amenusurika kifo hivi karibuni baada ya ndege ya shirika la Precision Air, iliyokuwa ikitoka Mwanza kwenda Dar es Salaam kupata hitilafu ya injini. Ndege hiyo,...
View ArticleAhadi ya Rais Kikwete Yatimia.....Wasanii kutoka Marekani wawasili nchini...
Terrence Ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa wasanii wa Tanzania kuwa atachangia kuinua kiwango cha ujuzi na weledi wao kwa kuwaandalia mafunzo...
View ArticleKanisa lawataka wachungaji wajiuzulu CHADEMA
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini ambaye pia ni Mchungaji wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT), Joseph Matare amejiuzulu nafasi yake hiyo kutokana na kanisa lake kuwataka...
View ArticleUjerumani ndo Mabingwa wa kombe la Dunia 2014.....Kipa wa Ujerumani atwaa...
Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia baada ya kutwaa Kombe la Dunia kwa mara ya nne nchini Brazil usiku huu. Kocha wa Ujerumani, Joachim Low akinyanyua juu Kombe la Dunia. Mario Gotze akiifungia...
View ArticleMdomo Wamponza Kafulila.....IPTL Yamdai fidia ya sh. Bilioni 310
Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imemfungulia kesi Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ikimtaka aombe...
View ArticleMagazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 14 July 2014
Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 14 July 2014
View ArticleAunt Ezekiel: Sina Gundu na Wanaume
Baada ya kudaiwa kuwa na gundu kufuatia kila mwanaume anayeishi naye kuandamwa na majanga, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli. Baada ya...
View ArticleWarioba kaa pembeni -Tendwa
Aliyekuwa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa amemtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuacha kuitetea Rasimu ya Katiba kwa maelezo kuwa kazi yake ilikuwa...
View ArticleMastaa wa Bongo Muvi watwangana wakigombea penzi la Steve Nyerere
Mastaa wawili wa kike Bongo Muvi, Vivian Minja na Najma wanadaiwa kutoleana maneno machafu kisha kuzichapa kavukavu chanzo kikidaiwa eti walikuwa wakimgombea Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movies,...
View ArticleJanuary Makamba: Sitarudi nyuma kuhusu urais 2015 na wanaonibeza hawawezi...
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amesema hatakatishwa tamaa na hatorudi nyuma katika harakati zake anazoziita za fikra mpya na mawazo mapya za kushika dola na kwamba...
View ArticleHali ya mtoto Devota aliyefungiwa Uvunguni kwa miaka Sita yabadilika na...
Mtoto Devota Malole aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Kilosa kufuatia mama yake kumtesa kwa kumfungia ndani na kumlaza chini kwa muda wa miaka mitano amehamishiwa katika hospitali ya...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unatatizo la kufika kileleni...
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha. Tatizo hili linawakabili mamilioni ya wanaume duniani na limekuwa na athari...
View ArticleShilole akataliwa Ukweni kisa Umri mkubwa
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa...
View ArticleMagazeti ya leo Jumanne ya tarehe 15 July 2014
Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 15 July 2014
View ArticleWatu wawili wahofiwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi mkoani...
WATU zaidi ya wawili wanadhaniwa kupoteza maisha baada ya kufunikwa na kifusi wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa miamba kwa ajili ya uchongaji wa matofali. Tayari mpaka sasa mwili wa mtu...
View ArticleVigogo wa Juu Mamlaka ya Bandari wapandishwa kizimbani Dar
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA) na Msaidizi wake, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka....
View ArticleMtuhumiwa wa Tindikali Zanzibar Atiwa mbaroni
Makachero wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja, Alawi Mohammed Silima (25), mkazi wa Fuoni Melinne, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Mtu huyo anatuhumiwa kuhusika na...
View ArticleHausigeli wa miaka 8 Ajeruhiwa vibaya na bosi wake
Mtoto Miseto (8), anayedaiwa alikuwa akifanya kazi za ndani kwa mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Mary Jerald mkazi wa Kijiji cha Busurwa, Wilaya ya Rorya, mkoani Mara ameokotwa ufukweni mwa Ziwa...
View ArticleNafasi za Mafunzo na Kazi toka RafikiElimu Foundation ( Mafunzo ya usimamizi...
Taasisi ya RAFIKIELIMU FOUNDATION kupitia MRADI WA WANAWAKE SALAMA TANZANIA, inatangaza nafasi za MAFUNZO YA USIMAMIZI NA UENDESHAJI WA TAASISI ZISIZO KUWA ZA KISERIKALI yaani NGO MANAGEMENT...
View Article