Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia baada ya kutwaa Kombe la Dunia kwa mara ya nne nchini Brazil usiku huu.
Kocha wa Ujerumani, Joachim Low akinyanyua juu Kombe la Dunia.
Mario Gotze akiifungia Ujerumani bao pekee na la ushindi dhidi ya Argentina usiku huu.
Wachezaji wa Ujerumani wakishangilia na Gotze.
Aliyekuwa
mchezaji wa Barcelona, Carles Puyol (kushoto) na modo wa Brazili
↧