Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini ambaye pia ni Mchungaji wa
Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT), Joseph Matare
amejiuzulu nafasi yake hiyo kutokana na kanisa lake kuwataka wachungaji
wake ambao ni viongozi wa vyama vya siasa kuachana na nafasi zao za
kisiasa.
Joseph Matare akizungumza na waandishi wa habari
mjini Songea amesema kuwa ameamua kujiuzulu
↧