Aliyekuwa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa amemtaka
aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph
Warioba kuacha kuitetea Rasimu ya Katiba kwa maelezo kuwa kazi yake
ilikuwa ni kuiandaa na siyo kushawishi kila mtu akubaliane nayo.
Amesema kazi sasa imebaki kwa Bunge Maalumu la
Katiba, ambalo linaijadili rasimu hiyo na kutoa mapendekezo yatakayofaa
na
↧