Baada ya kudaiwa kuwa na gundu kufuatia kila mwanaume anayeishi naye
kuandamwa na majanga, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson
ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli.
Baada ya maneno hayo kutufikia,
wanahabari wetu walimsaka Aunt ili kumsikia anazungumziaje taarifa hizo
ambapo alitiririka:
“Sina gundu na wanaume jamani, uzuri ni kwamba
kila niliyeishi naye
↧