Mastaa wawili wa kike Bongo Muvi, Vivian Minja na Najma wanadaiwa
kutoleana maneno machafu kisha kuzichapa kavukavu chanzo kikidaiwa eti
walikuwa wakimgombea Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movies, Steven
Mengere.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Vivian na Najma walifanya yao kwenye
hafla ya chakula cha usiku waliyokuwa wamealikwa na Steve iliyofanyika
kwenye Mgahawa wa Great Wall ulipo
↧