Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January
Makamba amesema hatakatishwa tamaa na hatorudi nyuma katika harakati
zake anazoziita za fikra mpya na mawazo mapya za kushika dola na kwamba
wazee wakae kando.
Hata hivyo, Makamba ambaye pia ni mbunge wa
Bumbuli (CCM) amewashukuru watu wanaozungumzia nia yake ya kuwania urais
mwaka 2015 na kutengeneza mjadala unaoendelea
↧