Mtoto Devota Malole aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Kilosa kufuatia mama yake kumtesa kwa kumfungia ndani na kumlaza chini kwa muda wa miaka mitano amehamishiwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro baada ya afya yake kiafya kubadilika.
Mganga mkuu wa hospitali ya wilaya ya kilosa Dr Shedrack Mponzi amesema wamelazimika kumuhamishia mtoto huyo katika hospital ya
↧