Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Mwanamke Aliyemng'ata Hausigeli na kumchoma Pasi Aachiwa

Mtuhumiwa wa kesi ya kujeruhi kwa kumng'ata sehemu mbalimbali za mwili  mfanyakazi wa ndani, inayomkabili Amina Maige (42) amepatiwa dhamana jana baada  ya mahakama kuthibitisha kuwa hasira kutoka kwa...

View Article


Kada wa CCM, Rajab Maranda kusomewa Mashitaka Kitandani Muhimbili

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Agosti 11 mwaka huu inatarajia kuhamia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kusikiliza utetezi wa kada wa CCM, Rajab Maranda anayekabiliwa na kesi ya...

View Article


Rais Kikwete aagiza shule zote za Sekondari nchini ziwe na Maabara ifikapo...

Rais Jakaya Kikwete ameagiza ifikapo Novemba mwaka huu, shule zote za sekondari nchini, ziwe na maabara kwa ajili ya masomo ya sayansi.   Ameagiza Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanashirikiana...

View Article

Milipuko ya Mabomu jijini Arusha yaiweka Pabaya Kamati ya Ulinzi na Usalama...

Kikao cha Kamati ya Ushauri Mkoa wa Arusha (RCC) kimetaka  polisi na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa, kuacha kutoa matamko ya haraka,   badala yake wachunguze kubaini chanzo cha milipuko ya mabomu...

View Article

Mbio za Urais 2015: Fredrick Sumaye Asema yeye ndo Tumaini pekee la Watanzania

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema yeye ni tumaini la Watanzania na mpambanaji wa vita dhidi ya maovu.   Kutokana na hali hiyo, amesema ni jemadari hodari aliyeungana na askari wapiganaji...

View Article


Wasio na Virusi Vya UKIMWI watakiwa waanze kutumia dawa za ARVs

Shirika la afya duniani, limewaasa wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, kutumia dawa za kupunguza makali ya HIV hata ikiwa hawajaambukizwa HIV.   Shirika hilo linasema kuwa ikiwa wanaume hao...

View Article

Moto wateketeza Vibanda 63 vya Wajasiliamali eneo la Jamatini mkoani Dodoma

Moja ya banda lililoungua na moto huo kati ya mabanda 63 ya wajasiliamali eneo la Dodoma  Baadhi ya wajasiriamali wakiokoa mali zao.   Moto uliokuwa ukiwaka eneo la Jamatinii =======  =========...

View Article

Rais Kikwete azindua nyumba za bei nafuu Mkinga

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi nyumba za bei nafuu zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa( National Housing) huko Wilayani Mkinga,Mkoa wa Tanga jana. Mkuu wa Kitengo...

View Article


Wema Sepetu azungumzia video mpya za Diamond, kushiriki BET Awards na...

Diamond Platinumz alipokewa kwa shangwe jana (July 10) katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere na wadau mbalimbali wa muziki na mashabiki wake akitokea Marekani alikoenda kushiriki katika tuzo za...

View Article


Chid Benz Amtandika ngumi Ray C

Rapa mwenye ‘swagger’ za Ja-Rule Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, anadaiwa kukwaa kisanga kingine kibaya baada ya kukurupuka kutoka nyumbani kwake na kwenda kumvamia staa mwenzake, Rehema Chalamila...

View Article

Daktari mwingine Feki Anaswa Hospitali ya Rufaa Moro

Askari Polisi wakimtoa nje daktari feki, Karume Habibu (22) kutoka kwenye ofisi ya Mganga Mkuu wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ambako alihojiwa kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi kwa...

View Article

Aina mpya ya Mauaji ya Wasichana Yaibuka Lindi..... Saba wamefariki baada ya...

Wasichana saba wamepoteza maisha wilayani Nachingwea mkoani Lindi baada ya kubakwa na kunyongwa kisha kuwekewa vijiti na chupa kwenye sehemu zao za siri.   Wasichana hao wamepoteza maisha kwa nyakati...

View Article

Kajala amvaa tena Wema Sepetu......Asema ni MNAFIKI na Kigeugeu

Staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kusema kuwa ushosti wake na Miss Tanzania 2006/07, Wema Sepetu, uliorudishwa hivi karibuni baada ya kuwekana sawa ni wa kinafiki huku akidai Wema...

View Article


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini aahidi kuwakamata walipuaji mabomu Arusha

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu amesema jeshi hilo lina uhakika wa kuwapata watuhumiwa wa mabomu mkoani Arusha na kwingineko nchini, pamoja na kudhibiti matukio hayo baada ya...

View Article

Bunduki ya Askari wa FFU yatumika kwenye Ujambazi

Tukio la ujambazi ambalo liliua watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi, limechukua sura mpya baada ya silaha waliyokuwa wakitumia majambazi hao kugundulika kuwa ilikuwa ikimilikiwa na askari wa...

View Article


UKATILI: Mtoto afichwa uvunguni kwa miaka 6 Morogoro

Wakati jamii ikiwa bado haijasahau mateso aliyoyapata mtoto Nasra Mvungi na kusababisha  kifo chake, tukio lingine la aina hiyo limetokea katika Kijiji cha Matongola, Tarafa ya Magole Wilaya ya...

View Article

Wakili wa Serikali anayekabiliwa na kesi ya kumjeruhi Hausigeli aendelea...

Wakili  wa Serikali, Yasinta Rwechungula (44)  Mkazi wa Boko njia panda, anayekabiliwa na kesi ya kumpiga na kumjeruhi mfanyakazi wake wa ndani ameendelea kusota rumande kutokana na kutotimiza...

View Article


Dayna Nyange asimulia jinsi anavyoshambuliwa na Mashabiki kwa Lugha Chafu...

Mwimbaji wa kike Dayna Nyange amezungumzia jinsi alivyokutana na changamoto nyingi baada ya kuamua kubadili rangi ya  ngozi yake na kuwa nyeupe.   Akiongea katika The Jump Off ya 100.5 Times Fm, Dayna...

View Article

Brazil Yaangukia PUA, Uholanzi yafanikiwa kushika nafasi ya tatu kombe la...

Wachezaji wa Uholanzi wakipozi na medali zako baada ya kushika nafasi ya tatu Kombe la Dunia 2014. Robin van Persie akiifungia Uholanzi bao la kwanza kwa mkwaju wa penalti katika dakika ya tatu ya...

View Article

Rais Kikwete: Uchaguzi Serikali za Mitaa kusogezwa mbele

RAIS Jakaya Kikwete amesema uchaguzi wa serikali za mitaa ambao ulikuwa ufanyike mwezi Oktoba mwaka huu, huenda ukasogezwa mbele kutokana na kutokamilika kwa mchakato wa rasimu ya mabadiliko ya...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>