Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi nyumba za bei
nafuu zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa( National Housing) huko
Wilayani Mkinga,Mkoa wa Tanga jana.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Cha Shirika la Nyumba la
Taifa (National Housing) Bi.Susan Omari(kushoto) akitoa maelezo na
kisha kukabidhi kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
↧