Diamond Platinumz alipokewa kwa shangwe jana (July 10)
katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere na wadau mbalimbali wa
muziki na mashabiki wake akitokea Marekani alikoenda kushiriki katika
tuzo za BET.
Wema Abraham Sepetu alifika pia katika uwanja huo kumpokea asali wake
wa Moyo na alipata nafasi ya kuzungumza na Fadhili Haule, mtangazaji wa
kipindi cha Sunrise cha 100.5 Times Fm
↧