Rapa mwenye ‘swagger’ za Ja-Rule Bongo,
Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, anadaiwa kukwaa kisanga kingine kibaya baada
ya kukurupuka kutoka nyumbani kwake na kwenda kumvamia staa mwenzake,
Rehema Chalamila ‘Ray C’ nyumbani kwake anapoishi na kumtwanga makonde
ikiwa ni siku chache tangu jamaa huyo apate msala mwigine wa aina hiyo.
Rapa mwenye ‘swagger’ za Ja-Rule Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid
↧