Askari Polisi wakimtoa nje
daktari feki, Karume Habibu (22) kutoka kwenye ofisi ya Mganga Mkuu wa
Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ambako alihojiwa kabla ya
kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi kwa mahojiano zaidi.
*********
WIMBI la madaktari feki kuingia katika hospitali wakijifanya
madaktari na kutoa huduma mbalimbali limeendelea ambapo jana amenaswa
mwingine mkoani Morogoro.
↧