Joyce Kiria Atukanwa baada ya kuingilia Sakata la Flora Mbasha na Mumewe
Mtangazaji anayejihusisha zaidi na mambo ya haki za wanawake Bongo, Joyce Kiria amenangwa na watu mbalimbali mitandaoni kwa kile kinachoonekana kuingilia sakata la mwimbaji wa Injili nchini, Flora...
View ArticleSemina Muhimu toka RafikiElimu Foundation......Hii si ya kukosa, Bofya Hapa...
Taasisi ya RafikiElimu FOUNDATION kupitia MRADI WA WANAWAKE SALAMA TANZANIA inapenda kuwaalika wanawake wote waishio jijini Dar Es salaam kushiriki katika SEMINA YA UTENGENEZAJI...
View ArticleUnataka kuongeza mwili au unene? Unataka kutengeneza shape ya mwili wako kwa...
Je ! Unataka kuongeza mwili au unene? Unataka kutengeneza shape ya mwili wako kwa kutumia lishe asilia bila kulazimika kutumia madawa yenye kemikali ? Kama jibu ni ndio basi...
View ArticleMbunge ataka Arusha iwe kanda maalumu ya Kipolisi
Mbunge wa viti maaluma Arusha Catherine Magege ameiomba serikali kuanzisha kanda maalumu ya kipolisi kwa jiji la Arusha ili kuimarisha ulinzi ambao umekuwa ukizorota siku hadi siku huku maisha wa...
View ArticleRay C amjibu TID baada ya kumtukana Matusi ya Nguoni
Ray C ambaye hivi sasa ameanzisha Ray C Foundation iliyojikita katika kusaidia watu walioathirika na matumizi ya madawa ya kulevya amemjibu msanii mwenzake TID kufuatia matusi aliyomporomoshea kupitia...
View ArticleTaswira za Majeruhi wa bomu la Arusha wakiwa Hospitali ya Selian
Baadhi ya majeruhi wakiwa katika hospitali ya Rufaa ya Selian mkoani Arusha wakipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu kwenye mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine uliopo...
View ArticleArgentina Watinga Fainali, Kumenyana na Ujerumani Jumapili hii
Argentina wakishangilia baada ya kutinga fainali kwa ushindi wa penalti 4-2. Lionel Messi akijaribu kumtoka Nigel de Jong wakati wa mtanange huo. Nahodha wa Uholanzi Robin van Persie akimiliki mpira...
View ArticleMagazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 10 July 2014
Magazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 10 July 2014
View ArticleDiamond Amliza Mama yake.....Wema Sepetu afanya kazi ya Ziada kumbeleleza
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefanya tukio la kihistoria kiasi cha kumliza mama yake mzazi, Sanura Kassim ambaye alimwaga machozi kama mtoto mbele za watu. Tukio la mama...
View ArticleRais Kikwete Amuasa January Makamba....Amtaka asilazimishe kugombea Urais...
Rais Jakaya Kikwete amezungumzia nia ya Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba kutaka kuwania urais mwakani, akisema mwanasiasa huyo kijana “anataka mambo makubwa, lakini...
View ArticleAlshabab waishambulia Ikulu ya Somalia
Wanamgambo wa Alshabab walijipenyeza katika eneo la ikulu ya Somalia yenye ulinzi mkali na kufanya mashambulizi Jumanne iliyopita ikiwa ni wiki moja baada ya kulishambulia bunge la nchi hiyo....
View ArticleFIFA yatangaza kifungo cha soka kwa Nigeria
Shirikisho la soka duniani FIFA, limeliangushia rungu la adhabu shirikisho la soka nchini Nigeria NFF, baada ya viongozi wa serikali ya nchi hiyo kushindwa kutimiza masharti waliyopewa tangu mwishoni...
View ArticleSio Siri Tena ..... Diana Kimaro Na Manaiki Sanga Katika Dimbwi Zito La...
Mastaa wa filamu nchini Diana Kimaro na Manaiki Sanga ni wapenzi. Juzi zilipenyezewa habari kuwa Manaiki anatoka na Diana Kimaro na kwasasa wameshibana vya kutosha kila mtu yupo hoi kwa mwenzake kama...
View ArticleIrene Uwoya Na Jaguar Wadaiwa Kukutana Faragha Nchini Kenya, Minong'ono Yaanza
Latest news zinasema kuwa star wa filamu nchini Irene Uwoya amekutana faragha Nairobi, Kenya na star mwenzake wa muziki toka nchini humo Jaguar. Chanzo kimoja kilicho karibu na Uwoya kikizungumza...
View ArticleBasi la Amani lapata Ajali maeneo ya Salanda mkoani Tabora, mtoto mmoja...
Basi la Amani Express likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata ajali usku wa kuamkia leo maeneo ya Salanda mkoani Tabora, ambapo mtoto wa miaka mitatu amepoteza maisha na abiria kadhaa...
View ArticleWalimu Wauana Mkoani Dodoma kwa Ugomvi wa Sh. 1000 ya bili ya...
JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Hombolo Justus Jackson (28) kwa tuhuma ya kumuua mwalimu mwenzie kwa kukataa kulipa sh. 1,000 ya bili ya umeme aliyo takiwa...
View ArticleVJ Penny Achumbiwa.....Sasa kuanza Maisha Mapya baada ya kutemana na Diamond
Mtangazaji maarufu nchini VJ Penny ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond Platnumz amechumbiwa. Kupitia Instagram Penny ameweka picha akiwa amevaa pete ya uchumba na kuandika ujumbe huu: “Road trip...
View ArticleBodaboda wahoji dhana ya wao kujiajiri
Waendesha bodaboda Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, jana wamehoji ipo wapi dhana ya wao kujiajiri, huku mamlaka ya mkoa na jiji hilo zikiwazuia kuingia na abiria kwenye maeneo ya katikati ya jiji...
View ArticleVanessa Mdee azungumzia uwezekano wa kushiriki Big Brother, ampendekeza...
LEO July 11 ndo siku ambayo usaili wa kuwatafuta washiriki watakaoiwakilisha Tanzania katika reality show ya Big Brother nchini Afrika Kusini utaanza kufanyika. Mara nyingi zinapokaribia siku za...
View ArticleRose Ndauka Amkimbia Mumewe
Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka hivi karibuni aliamua kumkimbia mumewe Malick Bandawe, kisa mfungo wa Ramadhani ambapo sasa anaishi Kigogo na mama yake mzazi. Akipiga stori na mwanahabari...
View Article