Mbunge wa viti maaluma Arusha Catherine Magege ameiomba serikali
kuanzisha kanda maalumu ya kipolisi kwa jiji la Arusha ili kuimarisha
ulinzi ambao umekuwa ukizorota siku hadi siku huku maisha wa wakazi wake
yakiwa hatarini.
Kufuatia
mfululizo wa mabomu baadhi wa kazi wa jiji la Arusha wameiomba serikali
kuingilia kati swala hilo kwa kuwa watu wamekuwa na hofu ya kushiriki
katika
↧