Ray C ambaye hivi sasa ameanzisha Ray C Foundation
iliyojikita katika kusaidia watu walioathirika na matumizi ya madawa ya
kulevya amemjibu msanii mwenzake TID kufuatia matusi aliyomporomoshea
kupitia Instagram siku kadhaa zilizopita.
Ray C amepost instagram ujumbe unaowajuza mashabiki wake kuhusu hali ya mama yake aliyekuwa mgonjwa na kisha akayajibu ya TID.
“Hi everyone!!!Asanteni
↧