Baadhi ya majeruhi wakiwa katika hospitali ya Rufaa ya Selian mkoani
Arusha wakipatiwa matibabu baada ya kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu
kwenye mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine uliopo karibu na
Mahakama Kuu jijini Arusha usiku wa kuamkia Julai 7, mwaka huu.
Katika mlipuko huo, watu nane walijeruhiwa vibaya huku mmoja akikatwa mguu baada ya kuumia sana.
↧