Argentina wakishangilia baada ya kutinga fainali kwa ushindi wa penalti 4-2.
Lionel Messi akijaribu kumtoka Nigel de Jong wakati wa mtanange huo.
Nahodha wa Uholanzi Robin van Persie akimiliki mpira dhidi wa wachezaji wa Argentina.
Mshambuliaji wa Uholanzi, Arjen Robben akifanyiwa madhambi na beki wa Argentina, Martin Demichelis.
Mashabiki wa Argentina wakipozi kabla ya mtanange huo.
↧