Rais Jakaya Kikwete amezungumzia nia ya Naibu Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba kutaka kuwania urais
mwakani, akisema mwanasiasa huyo kijana “anataka mambo makubwa, lakini
hajamshirikisha”.
Hii ni mara ya kwanza kwa Rais Kikwete kutoa maoni
yake kuhusu wanachama wa CCM wanaotaka kuwania urais, baada ya chama
hicho kuwaonya makada sita kwa tuhuma za
↧