STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul
‘Diamond’ amefanya tukio la kihistoria kiasi cha kumliza mama yake
mzazi, Sanura Kassim ambaye alimwaga machozi kama mtoto mbele za watu.
Tukio la mama Diamond kumwaga machozi lilishuhudiwa na kamera za Amani,
juzi Jumatatu, mishale ya saa mbili usiku nyumbani kwake, Sinza jijini
Dar es Salaam ambako kulikuwa na ‘bethidei’ ya mama huyo.
↧