Wanamgambo wa Alshabab walijipenyeza katika eneo la ikulu ya Somalia
yenye ulinzi mkali na kufanya mashambulizi Jumanne iliyopita ikiwa ni
wiki moja baada ya kulishambulia bunge la nchi hiyo.
Maafisa wa Somalia wamesema wakati wa shambulizi hilo, ulinzi ulikuwa
umeimarishwa vya kutosha na rais Hassan Sheikh Mohamud na familia yake
walikuwa salama ingawa wavamizi hao walilipua
↧