Shirikisho la soka duniani FIFA, limeliangushia rungu la
adhabu shirikisho la soka nchini Nigeria NFF, baada ya viongozi wa
serikali ya nchi hiyo kushindwa kutimiza masharti waliyopewa tangu
mwishoni mwa juma lililopita.
FIFA wameichukulia hatua Nigeria kwa kulifungia kwa muda usiojulikana
shirikisho la soka nchini humo, kutokana na viongozi wa Serikali
kuingilia mambo ya soka hatua
↧