Mastaa wa filamu nchini Diana Kimaro na Manaiki Sanga ni
wapenzi. Juzi zilipenyezewa habari kuwa Manaiki anatoka na Diana
Kimaro na kwasasa wameshibana vya kutosha kila mtu yupo hoi kwa mwenzake
kama mlenda.
Uzuri ni kuwa wakati udaku huo ukipenyezwa Manaiki mwenyewe alikuwepo eneo hilo
ambapo wasanii kadhaa walikuwa wakifuturu pamoja hivyo haraka sana tukampiga swali la moto Manaiki
↧