Latest news zinasema kuwa star wa filamu nchini Irene Uwoya amekutana
faragha Nairobi, Kenya na star mwenzake wa muziki toka nchini humo
Jaguar.
Chanzo kimoja kilicho karibu na Uwoya kikizungumza nasi kimesema kuwa wawili hao kuna deal wanafikiria kufanya pamoja lakini
hana uhakika mpaka sasa ni deal gani "Uwoya na Jaguar wamekutana faragha
kuna issue zao wana-talk ila sijui ni
↧