Basi la Amani Express
likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata ajali usku wa kuamkia
leo maeneo ya Salanda mkoani Tabora, ambapo mtoto wa miaka mitatu
amepoteza maisha na abiria kadhaa wamepata majeraha. Mashuhuda wanahisi
kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi. Pichani abiria wakitafuta
vitu vyao Abiria wakiendelea kutafuta vitu vyao Baadhi ya abiria walionusurika katika
↧