JESHI la Polisi
Mkoani Dodoma linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Hombolo
Justus Jackson (28) kwa tuhuma ya kumuua mwalimu mwenzie kwa kukataa
kulipa sh. 1,000 ya bili ya umeme aliyo takiwa kuchangia marehemu.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, David Missime amemtaja mwalimu
aliyeuwawa kuwa ni Fredy Ndahani (29) mwalimu wa shule ya Hombolo.
Misime amesema walimu hao wote
↧