Mtangazaji maarufu nchini VJ Penny ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond
Platnumz amechumbiwa. Kupitia Instagram Penny ameweka picha
akiwa amevaa pete ya uchumba na kuandika ujumbe huu: “Road trip ….site her we come…cc @halimakimwana1.”
Pia juzi tulisikia kuwa Penny amechumbiwa ingawa
hatukupata habari kwa kina mpaka Penny mwenyewe alipoweka picha Instagram
akiwa amevaa pete ya
↧