Waendesha bodaboda Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, jana wamehoji
ipo wapi dhana ya wao kujiajiri, huku mamlaka ya mkoa na jiji hilo
zikiwazuia kuingia na abiria kwenye maeneo ya katikati ya jiji la Dar es
Salaam.
Akizungumza
na East Africa Radio, Afisa Habari wa Jumuiya ya wendesha Bodaboda
jijini Dar es Salaam Bw. Abdallah Bakari amemuomba rais Jakaya Kikwete
kuingilia kati
↧