LEO July 11 ndo siku ambayo usaili wa kuwatafuta washiriki
watakaoiwakilisha Tanzania katika reality show ya Big Brother nchini
Afrika Kusini utaanza kufanyika.
Mara nyingi zinapokaribia siku za
usaili mashabiki mbalimbali huweka ubashiri wao wa mastaa ambao
wanadhani wanafaa kwenda kutuwakilisha.
Vanessa Mdee ni miongoni mwa
mastaa mabao walitajwa na baadhi ya watu kuwa anaweza
↧
Vanessa Mdee azungumzia uwezekano wa kushiriki Big Brother, ampendekeza Raheem Da Prince wa Times FM
↧