Jack Wolper alia na Ulawiti
Wakati sheria ikizidi kuwatia hatiani wale nguli wa kulawiti watoto, staa wa bongo movie, Jackline Wolper amesema kuwa hata kwa upande wake huwa anasikitishwa na vitendo hivyo...
View ArticleWaliomuua Sista Kapuri wa Kanisa Katoliki wakamatwa.....Yumo dereva wa Boda...
JESHI la Polisi katika Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashikilia watu nane wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi sugu. Wawili kati yao wanahusishwa na tukio la kuuawa kwa Sista Cresencia Kapuri (50) wa...
View ArticleUsultani waitesa CHADEMA....Samson Mwigamba aibuka tena, ampongeza...
TUHUMA za ubabe na usultani wa baadhi ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), bado umeendelea kukitesa na kukipasua vipande chama hicho. Hatua hiyo imetokana na baadhi ya...
View ArticleLowassa aweka wazi utajiri wake.....Azungumzia Kuhusu Afya yake, Bomu la...
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema madai kwamba yeye ni tajiri hayana ukweli wowote. Amesema yeye ni mfugaji na anamiliki ng’ombe zaidi ya 800 katika Jimbo la Monduli, mkoani Arusha....
View ArticleTaarifa kuhusu ndege iliyodondoka alfajiri ya July 02 Kenya
Taarifa kutoka Kenya zinaarifu watu wanne waliokua kwenye ndege iliyokua ikipaa kutoka uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta Nairobi kuelekea Mogadishu Somalia wamefariki dunia baada ya Ndege hiyo kuanguka...
View ArticleDiamond kuachia video mbili kwa mpigo, ni tofauti na alizowahi kufanya
Diamond Platinumz ametangaza kupitia Instagram kuwa ataachia video mbili kwa mpigo ikiwa ni siku chache baada ya kumalizana na BET Awards 2014. Mashabiki wake wategemee kuona video mbili kwa wakati...
View ArticleLoveness Diva aendeleza sifa za Kijinga
Mtangazaji maarufu wa Clouds Fm Loveness Diva ameposti picha katika account yake ya Instagram akiwa ameuanika mwili wake wote kwa jamii.... Mtangazaji huyo ameamua kujidhalilisha...
View ArticleUnataka kuongeza mwili au unene? Unataka kutengeneza shape ya mwili wako kwa...
Je ! Unataka kuongeza mwili au unene? Unataka kutengeneza shape ya mwili wako kwa kutumia lishe asilia bila kulazimika kutumia madawa yenye kemikali ? Kama jibu ni ndio basi...
View ArticleRipoti: Oscar Pistorius yuko kwenye hatari ya Kujiua
Ripoti ya wanasaikolojia inaeleza kuwa mwanariadha Oscar Pistorius yuko kwenye hatari ya kujiua kwa kuwa ana matatizo makubwa ya kisaikolojia hivi sasa. Ripoti ambayo ilisomwa na mwanasheria wa...
View ArticleBalozi wa Libya Tanzania ajiua kwa Risasi
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania leo imepokea taarifa kutoka ubalozi wa Libya nchini ikieleza kuwa aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya Bw. Ismail Nwairat, amefariki dunia...
View ArticleMajambazi yashambulia kwa Risasi Gari la Magereza jijini Dar likiwa na...
Kwa mujibu wa mdau aliyeshuhudia tukio lote hilo live anatupasha: Ishu ilikuwa hivi, kuna gari ndogo ilikuwa inatokea njia ya Kawe kwenda Shopperz au ilikuwa inaelekea mjini kwa kutumia hii njia ya...
View ArticleRais Kagame azungumzia uhusiano kati ya Rwanda na Tanzania.....Asema Rwanda...
Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema kwamba Rwanda na Tanzania ni mataifa ndugu na yataendelea kuwa ndugu kwa sababu yanachangia undugu huo. Rais Paul Kagame ameyasema hayo mjini Kigali kwenye kikao na...
View ArticleMwanamke aliyemtesa Hausigeli ( binti wa kazi ) kwa miaka miwili naye...
Mwanamke Yasinta Rwechengura, mkazi wa Boko wilayani Kinondoni, Dar anayekabiliwa na kesi ya kutuhumiwa kumtesa hausigeli wake kwa miaka miwili (siku 730), amejikuta akihenyeshwa mahakamani. Hayo...
View ArticlePicha ya Diamond akiwa na MBWA Yazua Kasheshe
Diamond Platinumz ambaye jina lake halisi la dini ya kiislamu ni Naseeb Abdul ameshambuliwa Instagram na baadhi ya mashabiki baada ya kupost picha akiwa beach huko ughaibuni huku ameshikilia kamba...
View ArticleMagazeti ya Leo Ijumaa ya tarehe 4 July 2014
Magazeti ya Leo Ijumaa ya tarehe 7 July 2014
View ArticleJeshi lasema hakuna Kuruta anayekufa kwa ukatili akiwa katika mafunzo ya JKT
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limekanusha taarifa zilizosambazwa kuwa vijana wa mujibu wa sheria, wanaoendelea na mafunzo katika kambi za JKT, kuwa wanakufa kwa ukatili. Hayo yalisemwa jana na...
View ArticleLulu Michael aanika UPAJA nje kuwatega Wanaume
GAUNI alilovaa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael hivi karibuni alipokuwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Watu limeonesha kuwatega wanaume hasa wakware kufuatia kuuanika ‘upaja’ wake. Akiwa...
View ArticleSabaSaba: Wasanii wa 'Original Comedy' wageuka wahudumu wa Mgahawa waliouanzisha
Maonesho ya 38 ya sabasaba yanaendelea katika eneo la Sabasaba, Dar es Salaam. Makampuni, vikundi na watu mbalimbali wamefika kwa wingi kuonesha bidhaa zao kwa mtindo utakaowawezesha kuwa karibu zaidi...
View ArticleJokate Mwegelo APANGUA tuhuma za kuvunja ndoa ya Dida
Mtangazaji wa Kipindi cha The One Show, Jokate Mwegelo ‘Jojo’ amefunguka kuwa hahusiki na kuvunjika kwa ndoa ya Khadija Shaibu ‘Dida’ kwani ni mshikaji wake na wanaheshimiana. Akijibu tuhuma kuwa,...
View ArticleUndani wa Bomu lililolipuka jijini Arusha, Idadi ya Waliojeruhiwa pamoja na...
Watu wanane, wanne wakiwa wa familia moja, wamelipuliwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu na kujeruhiwa vibaya wakati wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vama Traditional Indian Cuisine,...
View Article