Wakati sheria ikizidi kuwatia hatiani wale nguli wa kulawiti watoto, staa wa bongo movie, Jackline Wolper amesema kuwa hata kwa upande wake huwa anasikitishwa na vitendo hivyo kwani kufanya hivyo ni kuwatia doa katika maisha yao......
Staa huyo alisema kuwa kitendo cha kulawiti mtoto ni cha kinyama na kwamba haoni sababu ya kucheka na
↧