Vijana wawili wameuawa kwa kushambuliwa na wananchi wenye hasira mkoani Geita kwa kile kilichotajwa kuwa vijana hao walimuua mama yao wa kambo kwa kumcharanga mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake.
Akizungumzia tukio hilo kaimu Afisa mtendaji wa kata ya Busanda alisema tukio hilo lilitokea juzi katika kijiji cha Nyamtundu majira ya saa tatu usiku ambapo Mama moja aliyejulikana kwa jina
↧