Mashabiki wamshambulia Amber Rose kwa kumtaja Wiz Khalifa kuwa mwanaume...
Kuna msemo wa Kiswahili uliozoeleka kuwa muwamba ngoma huvutia kwake. Wazungu wenyewe wanasema uzuri upo kwenye macho ya anaeangalia kitu hicho. Baadhi ya mashabiki ambao hawaamini hayo yaliyoandikwa...
View ArticlePicha: Diamond Apiga Story Na Nelly Na Kufanyiwa Interview Na Girlfriend Wa...
Diamond amepiga hatua kubwa sana kwenye muziki na ameusogeza muziki wa Tanzania katika level nyingine kwa kushiriki tuzo za BET 2014. Japokuwa hajabahatika kushinda tuzo hizo, lakini yapo mengi...
View ArticleHapatoshi CHADEMA.....Msajili wa Vyama vya Siasa atuma Ujumbe mzito, Mbowe na...
Msajili wa vyama vya siasa nchini, jaji Francisi Mutungi ameuagiza uongozi wa Chadema kuitisha baraza kuu ili waitishe mkutano mkuu. Pia, amewazuia mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na katibu mkuu...
View ArticleMagazeti ya leo Jumanne ya tarehe 1 July 2014
Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 1 July 2014 <!-- adsense -->
View ArticleWaziri Mkuu Mizengo Pinda aziagiza Halmashauri zote kuendelea na matayarisho...
Waziri mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda ameziagiza halmashauri za wilaya nchini kuendelea na matayarisho ya uchagauzi mkuu wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu huku jitihada...
View ArticleDereva wa basi la Princes Munaa adai kuvunjwa mkono na Askari Polisi
DEREVA mmoja wa basi la Princes Munaa linalofanya safari zalke toka Mwanza-Dar, Bw. Hamidu Juma anadai kupigwa na Polisi Juni 26 mwaka huu huko Mbezi, Kimara jijini Dar. Akizungumza na mwandishi...
View ArticleMwanamke Auawa kikatili na mpenzi wake kisa Wivu wa Mapenzi
Mkazi wa Mtaa wa Majengo ‘B’ mjini Mpanda, Cesilia Clement (22) ameuawa kikatili kwa kuchomwa kisu mwilini na mpenzi wake, aliyemtuhumu kutomjali baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na...
View ArticleUGOMVI: Johari, Ray sasa kugawana mpaka nguo za Ndani
Hali katika kampini ya RJ inayoongozwa kwa ubiya kati ya Vicent Kigosi ( Ray) na Blandina Chagula 'Johari', inazidi kuwa tete kwa kile kinachoelezwa kuwa johari hataki kufanya kazi pamoja na 'mke...
View ArticleMfungo wa mwezi wa Ramadhani: Bei za Vyakula jijini Dar zapanda
BAADHI ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamelalamikia bei kubwa za vyakula katika kipindi hiki cha Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwenye badhi ya masoko jijini humo. Wakizungumza kwa...
View ArticleKituo cha Boko Haram chashambuliwa
Jeshi la Nigeria limesema kuwa limekishambulia kituo cha ujasusi cha wapiganaji wa Boko Haram kinachodaiwa kuhusika na utekaji wa wasichana zaidi ya 200 nchini humo. Hata hivyo taarifa za jeshi hilo...
View ArticleMsajili: Mbowe, Dk Slaa hawana sifa ya kugombea tena Uongozi ndani ya...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imesema Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk Willibrod Slaa hawana sifa za kugombea tena uongozi wa chama hicho kwa kuwa wanabanwa na katiba yao....
View ArticleNgoma za Vigodoro zamfanya Wema Sepetu Ashindwe Kuhudhuria BET Awards 2014...
Watu wengi wakiwemo mashabiki wa Wema na Diamond walitarajia kumuona pamoja Wema Sepetu akimpa kampani mpenzi wake Diamond Platnumz ambaye alikuwa anawania tuzo ya BET Awards 2014 huko Los Angels,...
View ArticleDaktari na Mgonjwa wa Meno wafumaniwa wakijiandaa kufanya Mapenzi ndani ya...
Daktari wa meno aliyejulikana kwa jina la Dokta Ngariba (54), amejikuta ndani ya janga la tuhuma za ngono baada ya wapiga picha za Udaku kunasa sakata lake na mwanamke aliyedai ni mgonjwa wa jino...
View ArticleMfanyakazi wa ndani ( Hausigeli) adaiwa kumuua mwajiri wake kwa kumchoma kisu...
Karani wa Mahakama ya Wilaya ya Singida, Asha Juma(24), ameuawa kwa kuchomwa kisu na mfanyakazi wake wa ndani. Tukio hilo limetokea jana saa 4:00 asubuhi eneo la Sabasaba katika kata ya Utemini...
View ArticleMahabusu kuvua nguo Mahakamani.....Ushirikina watajwa, yadaiwa huenda hufanya...
USHIRIKINA umetajwa kwa mahabusu wa Gereza la Wilaya ya Geita waliovua nguo mbele ya Mahakama ya Mwanzo ya Nyankumbu mkoani hapa wakimshinikiza Mkuu wa Mkoa wa Geita (Said Magalula), Jaji Mkuu...
View ArticleTID Amlima Matusi ya nguoni Ray C baada ya kumuomba wazungumze, "B**ch leave...
Mmiliki wa Top Band, TID amegeuka mbogo baada Ray C kumuomba kupitia Instagram wazugumze. Mwimbaji huyo ambaye anadaiwa kuwa mmoja wa wasanii wanaotumia dawa za kulevya huenda alihisi Ray C anataka...
View ArticleMwanafunzi wa chuo kikuu cha RUCO aliyechomwa Moto akidhaniwa ni Mwizi...
Daniel Anael Lema, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Augustino, Tawi la Iringa (Ruaha University College - RUCO), amefariki dunia baada ya...
View ArticleLinah Aeleza Kinachoendelea kumuweka Mjini Bila Kuwa Na Nyimbo Mpya Na Shows
Ndege Mnana, Linah ambaye kwa muda mrefu amekuwa kimya bila kuachia wimbo mpya kabla ya kuachia remix ya wimbo wa Kizaizai wa Diamond ameeleza sababu zinazomfanya aendelee kuishi maisha mazuri hata...
View ArticleSakata la Mwanamke aliyemuua mumewe kwa kukataa kumnunulia viatu
Ni katika Mahakama ya Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya ambapo kesi ya Sabina Njeri mwenye umri wa miaka 23 ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kumuua mume wake kwa kumchoma kisu baada ya kushindwa...
View ArticleVijana wawili wauawa na Wananchi wenye hasira kali baada ya kumuua mama yao...
Vijana wawili wameuawa kwa kushambuliwa na wananchi wenye hasira mkoani Geita kwa kile kilichotajwa kuwa vijana hao walimuua mama yao wa kambo kwa kumcharanga mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake....
View Article