Hali katika kampini ya RJ inayoongozwa kwa ubiya kati ya Vicent Kigosi ( Ray) na Blandina Chagula 'Johari', inazidi kuwa tete kwa kile kinachoelezwa kuwa johari hataki kufanya kazi pamoja na 'mke mwenza' Chuchu Hans.
Chanzo hicho ambacho kipo karibu na wasanii hao kilisema kuwa mwezi mmoja uliopita Johari na Chuchu, walikuwa katika kuelekea kuelewana ambapo johari, alishakubali yaishe
↧